Monday, February 6, 2017

VIDEO: Alichokisema Rais Magufuli kuhusu Swala la Madawa ya Kulevya

Rais Magufuli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata wanaohusika na Dawa za Kulevya bila kuangalia umaarufu au cheo cha mtu. Magufuli ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza mara baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Vanance Mabeyo pamoja na viongozi wengine wa majeshi, na mabalozi.
Msikilize hapo chini akiongea

No comments:

Post a Comment