Wednesday, February 8, 2017

ZIJUE NGUZO ZA HIP HOP

NGUZO ZA HIP HOP



         

                                

                           NGUZO ZA HIP HOP  




          Utamaduni wa hip hop kama zilivyo tamaduni zingine duniani una misingi, au nguzo zake.Kitu chochote ili kiweze kusimama imara huitaji misingi au mihili mikuu ambayo itakifanya kitu au jambo hillo liweze kudumu katika kipindi fulani au kiweze kudumu kutoka kizazi kimoja na kingine. Hivyo hivyo hapa mziki  au utamaduni wa hip hop bado unaendelea kuwepo kwa sababu waasisi wa utamaduni huu adhimu na wa kutukuka waliweza kusimika misingi na nguzo imara ambazo zimeufanya utamaduni huu uweze kurithiwa na vizazi vilivyopo na hata vijavyo.
           Utamaduni huu ulianzia nchini marekani katika maeneo ambayo watu wa tabaka la chini  walikuwa wakiishi.Waafrika wenye asili ya kimarekani ambao walikuwa wakiishi  magettoni katika
 maeneo wanamoishi watu wa kipato au tabaka la chini waliamua kuanzisha utamaduni huu ili kuweza kuwasilisha mataizo na changamoto mbalimbali ambazo zilikuwa zikiwakabili katika maisha yao kwa njia ya sauti. Mziki huu ulilenga zaidi kuelezea maisha halisi ya watu kwenye mitaa, kama vile masuala ya ukosefu wa ajira, ubaguzi wa rangi, masuala ya wizi na unyang'anyi, ukosefu wa elimu, nk.
           HUYU NDIYE DJ KOOL HERC , MMOJA KATI YA WAASISI WA MUZIKI WA HIP HOP.
Image result for dj afrika bambaataa 
     PICHANI NI DJ AFRIKA BAMBAATAA; NI MIONGONI MWA WAASISI WA MZIKI WA HIP HOP.
 Baadhi ya waandishi wanadai kwamba utamaduni wa hip hop ulianzishwa na akina DJ Kool Herc pamoja na DJ Afrika Bambaataa.
 Mwandishi mmoja amejaribu kutoa maelezo yafuatayo kuhusu chimbuko la hip hop , anasema  kuwa;
                    " The origin of the hip hop culture stems from the block parties of the Ghetto Brothers    when they plugged in the amplifiers for their instruments and speakers into the lampposts on 163rd Street and Prospect Avenue and used music to break down racial barriers, and from DJ Kool Herc at 1520 Sedgwick Avenue, where Herc mixed samples of existing records with his own shouts to the crowd and dancers. Kool Herc is credited as the "father" of hip hop. DJ Afrika Bambaataa of the hip hop collective Zulu Nation outlined the pillars of hip hop culture".
       mziki wa hip hop una nguzo tano. nguzo ni pamoja na      
  1. Kughani
  2.  Image result for sean price 
2.machata au graphits
Image result for graphics of hip hop

3. djaaing.
Image result for dj of hip hop
4.mavunjaji au break dance.
















Image result for break dance in hip hop

No comments:

Post a Comment